19 Machi 2011 - 20:30

Hanaa Shibliy mwenye Umri wa miaka 27 ambae ni Mpalestina alietekwa nyara na Jeshi la haramu la Israel kwa mara nyingine tena akataa chakula.

Ripoti ya Shirika la habari la Ahlul Bayt(as)-ABNA- Hanaa Shibliy mwenye Umri wa miaka 27 alietekwa nyara na Jeshi la haramu la Israel katika Kijiji cha Barqin kwa nyingine tena akataa chakula kwani hapo kabla pia alikwishashikwa na vikosi hivyo haramu vya Israel.

Hanaa Shibliy siku ya 9 alikataa chakula na kutaka kuachua huru na kama hawatomuachia huru ataendelea na msimamo wake kwa kudai kuwa Jeshi haramu la Israel lilimuukumu miezi 6  bila sababu ya msingi.

Viongizi wa Jeshi la wazayuni walesema kuwa; akiendelea hivyo watamuhamisha Jela ya pekee na kumpeleka mahakama ya jinai Israel.

Familia ya Hanaa wameomba Serikali ya Misri kumrejesha haraka Hanaa kwani Serikali ya Misri ilikubaliana na Hamas Kubadili Mateka na Israel na Kusainiwa na Serikali ya Misri.

Kutiwa mbaroni Hanaa aIiongeza idadi ya wafungwa Wanawake waloshikwa na Jeshi haramu la wazayuni kufikia idadi ya Wanawake 6 na  aliefungwa kifungo cha muda mrefu ni Lina Ahmad Aljarbuniy kufungwa miaka 17 kuanzia mwaka 2002, na alishikwa sehemu itwayo Arabatul Butuf katika Kijiji cha Aljalil ambacho sasa kimeporwa na Mayahudi.

Pia kuna mateka wengine waloshikwa mwaka 2006, 2011, 2012.